Saturday, 10 October 2015

                                           (Maktaba ya kisasa, shule ya Sekondari Nasuli)

                    KARIBU KATIKA MAKTABA YA KISASA SHULE YA SEKONDARI NASULI

Shule ya Sekondari Nasuli iliyopo katika halmashauri ya wilaya ya Namtumbo sasa ina Maktaba nzuri na ya kisasa iliyoboreshwa chini ya udhamini wa MANTRA na READ INTERNATIONAL toka uingereza. Maktaba ina vitabu vingi vya kutosha kwa masomo yote na vitabu na makala mbalimbali kuhusu mambo ya kijamii.



No comments:

Post a Comment