Wednesday, 23 August 2017

JOINING INSTRUCTION FOR FORM FIVE 2017/2018 NASULI HIGH SCHOOL

OFISI YA RAIS – TAMISEMI
HALMASHAURI YA WILAYA YA NAMTUMBO
SHULE YA SEKONDARI NASULI,
                                                                                                                     S.L.P21,
NAMTUMBO.
ANWANI YA SIMU                                                                         10/06/2017.
  SIMU Na: 0754404552
                  0786251224
KUMB.NA:
MZAZI/MLEZI WA MWANAFUNZI ______________________________________
S.L.P ____________________
__________________________
YAH:MAELEKEZO YA KUJIUNGA NA SHULE YA SEKONDARI NASULI ILIYOPO HALMASHAURI YA NAMTUMBO, MKOA WA RUVUMA MWAKA 2017.
1.Nafurahi kukutaarifu kuwa mwanao amechaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano katika shule hii mwaka 2017. Shule ya Sekondari Nasuli ipo umbali wa Kilometa 65 Mashariki mwa mji  mkuu wa Mkoa wa Ruvuma (Songea) na Kilometa 185 Magharibi mwa Wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma.
Usafiri wa basi kutoka mjini Songea unapatikana katika Kituo cha Mabasi cha Msamala, nauli ni Shillingi 2,500/=. Ukifika Namtumbo telemka katika Kituo Kikuu cha Mabasi cha Namtumbo na Shule yetu ipo upande wa pili wa barabara kuu.
Muhula wa masomo unaanza tarehe 17/07/2017 na mwisho wa kuripoti ni tarehe 01/08/2017.
Mwanafunzi atakayechelewa kuripoti kwa tarehe hizo, nafasi yake atapewa mwanafunzi mwingine.

2.1 Sare ya Shule
a)     Sare ya shule hii ni sketi ya rangi ya kijani kibichi yenye marinda kuzunguka kiuno chote yenye marinda kuzunguka kiuno chote yenye urefu wa sentimeta 15 toka unyayoni. (Sketi fupi hazikubaliki) Sketi ziwe mbili au zaidi.
b)    Shati nyeupe mikono mifupi (Mashati mawili au zaidi).
c)     Viatu vyeusi vya kufunga na kamba vyenye visigino vifupi.
d)    Sare ya michezo kwa shule hii ni track suit nyeusi.
e)     Sweta rangi ya kijani kibichi.
f)      Nguo za kushindia (Shamba dress) ni gauni rangi ya damu ya mzee, mshono ni solo. Gauni liwe refu sentimeta 15 toka unyayoni.
g)     Rangi ya hijab ifanane na sare ya shule.
h)     Soksi jozi mbili nyeupe.
2.2 Ada na Michango
a)     Ada ya shule ni shilingi 70,000/= kwa mwaka. Unatakiwa kulipa shilingi 35,000/= kwa muhula. Fedha hizo zilipwe kwenye Akaunti ya Shule namba 62401100009 katika Benki ya NMB (Tafadhali andika jina la mwanafunzi kwenye pay in slip. Pay in slip hiyo iletwe shuleni siku atakayoripoti mwanafunzi).
b)    Michango inayotakiwa kulipwa na kila mzazi ni:-
                                i.            Shilingi 15,000/= kwa ajili ya ukarabati wa samani.
                              ii.            Shilingi 6000/= kwa ajili ya kitambulisho na picha.
                            iii.            Shilingi 20,000/= kwa ajili ya taaluma.
                           iv.            Shilingi 30,000/= kwa ajili ya kuwalipa wapishi, walinzi na vibarua wengine.
                             v.            Shilingi 2000/= nembo ya shule.
                           vi.            Shilingi 10,000/= ,  kwa ajili ya huduma ya kwanza Tsh 5,000/= na Bima ya Afya (CHF)Tshs.5,000/=.
                         vii.            Shilingi 20,000/= Mitihani ya Kujipima “Mock”.
                       viii.            Fedha ya tahadhari Tshs 5000/= (haitarejeshwa).
Michango hii pia ilipwe katika Akaunti ya Shule iliyotajwa hapo juu.
NB: Jumla ya ada na michango kwa mwaka kwa mwanafunzi ni Shilingi 178,000/=.


c)     Mahitaji muhimu ambayo mwanafunzi anapaswa kuleta shuleni ni:-
                                i.            Ream ya karatasi moja A4 kwa mwaka.
                              ii.            Vitabu vya masomo ya tahasusi husika .
                            iii.            Dissecting kit kwa wanafunzi wa Biolojia.
                           iv.            Scientific calculator.
                             v.            Godoro kwa wanafunzi wa bweni.
                           vi.            Mashuka (pea mbili, rangi ya blue bahari na pink), blanketi, mto,foronya .
                         vii.            Vyombo vya chakula (sahani, bakuli, kikombe na kijiko).
                       viii.            Ndoo mbili ndogo zenye mifuniko.
                           ix.            Kwanja moja, jembe moja, mifagio ya ndani na nje.
3. MAKOSA YATAKAYOSABABISHA MWANAFUNZI KUFUKUZWA SHULE.
        i.            Wizi
      ii.            Kutohudhuria masomo kwa zaidi ya siku 90 bila taarifa/utoro
    iii.            Kugoma na kuhamasisha mgomo
   iv.            Kutoa lugha chafu kwa wanafunzi wenzake, walimu/ walezi na jamii kwa ujumla.
     v.            Kupigana mwanafunzi kwa mwanafunzi, kumpiga mwalimu au na mtu yeyote Yule
   vi.            Kusuka nywele kwa mtindo usiokubalika. Wanafunzi wote wanatakiwa kuwa na nywele fupi wakati wote wawapo shuleni au kusuka kwa mtindo wa ususi uliokubalika na uongozi wa shule
 vii.            Kufuga ndevu
viii.            Ulevi au unywaji wa pombe na matumizi ya madawa ya kulevya
   ix.            Uvutaji wa sigara
     x.            Uasherati, uhusiano wa jinsia moja , kuoa au kuolewa
   xi.            Kupata ujauzito au kutoa mimba
 xii.            Kushiriki matendo ya uhalifu, siasa na matendo yoyote yale yanayovunja sheria za nchi
xiii.            Kutembelea majumba ya starehe na nyumba za kulala wageni
xiv.            Kumiliki , kukutwa au kutumia simu ya mkononi katika mazingira ya shule
 xv.            Kudharau Bendera ya Taifa
xvi.            Kufanya jaribio lolote la kujiua, au kutishia kujiua kama kunywa sumu n.k
xvii.            Uharibifu wa mali ya Umma kwa makusudi.
4. Viambatanisho na fomu muhimu
a)     Fomu ya uchunguzi wa afya (Medical examination form) ambayo itajazwa na Mganga Mkuu wa hospitali ya Serikali
b)    Fomu ya maelezo binafsi kuhusu historia ya mwanafunzi, mkataba wa kutoshiriki katika mgomo, fujo na makosa ya jinai
c)     Fomu ya mzazi kukiri kukubaliana na sheria, kanuni, kulipa ada, michango na maelekezo mengine yatakayotolewa na shule
d)    Picha nne (4) za wazazi na ndugu wa karibu wa mwanafunzi wanaoweza kumtembelea mwanafunzi shuleni pamoja na namba zao za simu
5. Tafadhari soma kwa makini maelezo , maagizo haya na kuyatekeleza kikamilifu

KARIBU SANA KATIKA SHULE HII
_________________________________
AMOS C. MAPUNDA
MKUU WA SHULE











Kiambata “A”

FOMU YA KUKUBALI KUJIUNGA NA SHULE YA SEKONDARI NASULI.
A. Sehemu ya Mwanafunzi

Mimi …………………………………………………………………………. Ninakubali nafasi niliyopewa kuingia Kidato cha Tano kwa tahasusi ya ………………….  mwaka ………………katika Shule ya Sekondari ya Nasuli na nitafika shuleni bila kuchelewa. Ninaahidi kwamba nitatii na kuzingatia sheria zote za shule na za nchi. Ninaahidi kutoshiriki katika mgomo, fujo na makosa ya jinai.               

Nitakuwa mwanafunzi mwenye bidii katika masomo na kazi za Elimu ya kujitegemea.
Anuani yangu ya kudumu ni ……………………………………………………………………………….
……………………………………………
……………………………………………
…………………………………………..

Sahihi………………………………….. Tarehe ………………………


B. Sehemu ya Mzazi/Mlezi

Mimi …………………………………………………ninakubali mtoto wangu ……………………………………………………
Kuchukua nafasi kuingia Nasuli shule ya sekondari kidato cha tano tahasusi ya ………………….... mwaka …………………..
Ninaahidi kumpatia mahitaji yote ya shule kama ilivyo katika maagizo ya kujiunga na shule.   Pia nakiri kukubaliana na sheria, kanuni za shule pamoja na kulipa ada, michango na maelekezo mengine yatakayotolewa na shule.

Ninakuhakikishia kuwa nitashirikiana na shule wakati wote kuona kuwa mwanangu anatekeleza wajibu wake kwa shule na Taifa.
Anuani yangu ya kudumu ni:-
……………………………………………………
……………………………………………………
Iwapo nitapata uhamisho au kubadili makazi, ni lazima nitaijulisha shule kwa maandishi.


Sahihi………………………………….. Tarehe ………………………
Kiambata “B”

TAARIFA BINAFSI YA MWANAFUNZI
1. Jina lako kamili lilivyotumika kidato cha nne…………………………………….

Dini yako/dhehebu …………………………………………………………………………
2. Jina kamili la baba mzazi/mlezi …………………………………………………………

Kazi yake ………………………………………………………………………………………
Anwani kamili ya baba mzazi/mlezi …………………………………………………….
Na. yake ya simu ya mkononi ……………………………..
Na. yake ya simu ya mezani …………………………….....
Mahali anakoishi baba mzazi/mlezi: Mkoa …………………… Wilaya …………
Tarafa …………………………………………. Kata ………  Kijiji/Mtaa…………………………………………………………………………

3. Jina kamili la mama mzazi/mlezi ………………………………………………………..

Kazi yake ……………………………………………………………………………………….
Anwani kamili ya mama mzazi/mlezi ……………………………………………………………………………………….
Na. yake ya simu ya mkononi ……………………………….
Na. yake ya simu mezani ……………………………………..
Mahali anakoishi mama mzazi/mlezi: Mkoa …………………. Wilaya …………
Tarafa ……………………………………Kata …………………….                 
Kijiji /Mtaa…………..

4. Majina ya watu watatu wanaoruhusiwa kumtembelea/kumchukua mtoto wako
Na.
Jina lake
Uhusiano
Mahali anakoishi
Anwani na namba yake ya simu

01




02




03






5. shule nilizosoma msingi hadi kidato cha nne
Na.
Jina la shule
Darasa/ kidato
Kuanzia mwaka hadi mwaka
Mkoa
Wilaya
Kijiji/Kata
01






02






03






04






05







Namba yangu ya mtihani wa kidato cha nne …………………………..






































Kiambata “C”
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
PRESIDENT’S OFFICE
REGIONAL ADMINISTRATION AND LOCAL GOVERNMENTS
NAMTUMBO DISTRICT COUNCIL
NASULI SECONDARY SCHOOL,
P.O BOX 21,
NAMTUMBO.
10.06.2017.
DISTRICT MEDICAL OFFICER
P.O.BOX …………..
…………………………

Dear Sir/Madam.
Re : A REQUEST FOR MEDICAL EXAMINATION.
Please examine Mr./Miss ……………………………… as to his/her physical and mental fitness for admission as a Form Five Student at Nasuli Secondary School in the year 2017.
Yours sincerely,
……………………………..
AMOS C. MAPUNDA
HEAD OF SCHOOL
__________________________________________________________________

The Headmaster,
I have examine Mr./Miss ………………………………as shown below and consider that he/she is physically and mentally fit/unfit for admission to pursue a full time secondary education.
1. Vision with/without glasses. Right ……………………… left ……………
2. Blood pressure …………………………………… Haemoglobin ……………
3. Hearing …………………………………………….
4. Urine (a) Albumen ……………………………. (b) Sugar ……………………
5. (a) Venerial diseases …………………………..(b) Bilharzia ………………
6. Pregnancy ………………………………………………………………………
7. Neurosis ……………………………………………………………………
8. Is there any abnormality of:-
(a) The heart …………………………………. (b) Lungs ……………………
(c) The spleen …………………………………
9. Are there any serious diseases e.g. leprosy, epilepsy, asthma, diabetes etc.
……………………………………………………………………………………….
Any comments ………………………………………………………………………

 …………………..                               …………………………………….
       Date                                                          Signature of Medical Officer 

Station:…………… ................                      Designation …………………………







No comments:

Post a Comment